|
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Mussa Azzan Zungu akiongoza kikao cha tano cha mkutano wa saba wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
|
 |
Naibu waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe.
Suleimani Jafo akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha tano cha
mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
|
 |
Waziri wa Viwanda , Biashara na Uwekezaji Mhe.
Charles Mwijage akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha tano cha
mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
|
 |
Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano
Mhe. Mhandisi Edwin Ngonyani akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha
tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
|
 |
Mbunge wa Mwibara(CCM) Mhe. Kangi Lugola akiuliza
swali katika kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mjini Dodoma.
|
 |
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe. Fakharia Shomar
Khamis akiuliza swali katika kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
|
 |
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mh. Eng. Isack Aloyce Kamwelwe akijibu hoja mbalimbali za
wabunge katika kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
|
 |
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.
Dkt Hussein Mwinyi akijibu hoja
mbalimbali za wabunge katika kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
|
 |
Mbunge wa
Ukonga (CHADEMA) Mwita Waitara
akiuliza swali katika kikao cha tano cha mkutano
wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
|
 |
Naibu Waziri wa Kilimo Uvuvi na Ufugaji Mhe.
William Ole Nasha akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha tano cha
mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
|
 |
Mbunge wa Urambo (CCM) Magreth Sitta akiuliza
swali katika kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mjini Dodoma.
|
 |
Mbunge wa
Iringa Mjini (CHADEMA), Mhe. Peter
Msigwa akiuliza
swali katika kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mjini Dodoma.
|
 |
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi Teknolojia na Ufundi
Mhe. Stella Manyanya akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha tano
cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
|
 |
Mbunge wa
Shaurimoyo (CCM), Mattar Ali Salum akiuliza swali katika kikao cha tano cha
mkutano wa saba wa Bungela Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
|
 |
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Kassim Majaliwa(kulia) akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
Sera Bunge Ajira kazi na watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama(kushoto)
wakati wa kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mjini Dodoma katikati ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George
Masaju.
|
 |
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni sanaa na Michezo
Mhe. Anastazia Wambura(Kushoto) na Naibu Waziri wa Elimu Sayansi Teknolojia na
Ufundi Mhe. Stella Manyanya wakifuatilia
kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mjini Dodoma.
|
 |
Waziri wa Nchi Ofisi ya waziri Mkuu Sera Bunge Ajira
Kazi na watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akijadiliana jambo na Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki katika kikao
cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini
Dodoma.
|
 |
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
wakifuatilia kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mjini Dodoma.
|
 |
Wajumbe nane kutoka Baraza la Wawakilishi Zanzibar
wakifuatilia shughuli za kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
|
Picha na Raymond Mushumbusi