Picha: RAIS MAGUFULI AHUDHURIA IBADA YA JUMAPILI MAKANISA MAWILI MJINI MOSHI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Magufuli akitakiana amani na mmoja wa mapadre katika
Kanisa la Kuu la Katoliki Parokia ya Kristo Mfalme Moshi Mjini
alikohudhuria ibada ya Jumapili leo Aprili 30, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Magufuli akipokea Ekaristi Takatifu toka kwa Askofu Isaac
Aman katika Kanisa la Kuu la Katoliki Parokia ya Kristo Mfalme Moshi
mjini alikohudhuria ibada ya Jumapili leo Aprili 30, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Magufuli akiungana na waumini katika Kanisa la Kuu la
Katoliki Parokia ya Kristo Mfalme Moshi mjini katika ibada ya Jumapili
leo Aprili 30, 2017
Waumini wakishangilia wakati Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli aliposalimia
waumini katika Kanisa la Kuu la Katoliki Parokia ya Kristo Mfalme Moshi
mjini katika ibada ya Jumapili leo Aprili 30, 2017
Waumini wakishangilia wakati Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimia

Dkt John Pombe Magufuli akiombewa na Askofu Isaac Aman katika Kanisa la
Kuu la Katoliki Parokia ya Kristo Mfalme Moshi mjini alikohudhuria ibada
ya Jumapili leo Aprili 30, 2017

Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na watawa katika Kanisa la Kuu la
Katoliki Parokia ya Kristo Mfalme Moshi mjini baada ya ibada ya
Jumapili leo Aprili 30, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na waumini katika Kanisa la Kuu la
Katoliki Parokia ya Kristo Mfalme Moshi mjini baada ya ibada ya
Jumapili leo Aprili 30, 2017
Askofu Mkuu wa KKKT Askofu Dkt.
Frederick Shoo akitoa mahubiri wakati wa ibada ya Jumapili katika Kanisa
la KKKT Dayosisi ya Kaskazini katika Usharika wa Moshi Mjini leo
Aprili 30, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli na waumini wengine wakimsikiliza Askofu Mkuu wa
KKKT Askofu Dkt. Frederick Shoo akitoa mahubiri wakati wa ibada ya
Jumapili katika Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini katika Usharika wa
Moshi Mjini leo Aprili 30, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akikaribishwa na Askofu Mkuu wa KKKT Askofu
Dkt. Frederick Shoo kuongea na wananchi baada ya ibada ya Jumapili
katika Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini katika Usharika wa Moshi
Mjini leo Aprili 30, 2017

Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na waumini na wananchi baada ya
ibada ya Jumapili katika Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini katika
Usharika wa Moshi Mjini leo Aprili 30, 2017

Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa sala maalumu na Askofu Mkuu wa KKKT
Askofu Dkt. Frederick Shoo kuongea na wananchi baada ya ibada ya
Jumapili katika Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini katika Usharika wa
Moshi Mjini leo Aprili 30, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli na Askofu Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Frederick
Shoo pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Said Meck Sadick
wakati wa kuhitimisha ibada ya Jumapili katika Kanisa la KKKT Dayosisi
ya Kaskazini katika Usharika wa Moshi Mjini leo Aprili 30, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na Askofu Mkuu wa KKKT Askofu Dkt.
Frederick Shoo baada ya ibada ya Jumapili katika Kanisa la KKKT
Dayosisi ya Kaskazini katika Usharika wa Moshi Mjini leo Aprili 30,
2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli, Askofu Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Frederick
Shoo, Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Wenye
Ulemavu) Mhe. Jenista Muhagama, Askofu Mstaafu Evarist Kweka wakipata
picha ya pamoja baada ya ibada ya Jumapili katika Kanisa la KKKT
Dayosisi ya Kaskazini katika Usharika wa Moshi Mjini leo Aprili 30,
2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Askofu Mkuu wa KKKT Askofu Dkt.
Frederick Shoo na Askofu Mstaafu Evarist Kweka baada ya ibada ya
Jumapili katika Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini katika Usharika wa
Moshi Mjini leo Aprili 30, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Askofu Mkuu wa KKKT Askofu Dkt.
Frederick Shoo na Askofu Mstaafu Evarist Kweka na kiongozi mwingine
baada ya ibada ya Jumapili katika Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini
katika Usharika wa Moshi Mjini leo Aprili 30, 2017. PICHA NA IKULU