Picha: katika Matukio Shirika la Jukwaa la Utu wa Mtoto CDF Tarime Watoa Mafunzo ya Ujasiriamali kwa wasichana 4o ambao ni wahanga wa Ukeketaji, Mimba za Utotoni na Ndoa za Utotoni.
Kambibi Kamugisha kutoka CDF akieleza yale yatakayoenda kufundishwa |
Frida Mwita Kutoka Dar Es Salaam ambaye ni Mkufunzi katika Mafunzo hayo ya Ujasiriamali akifundisha wasichana hao |
Wasichana hao wakiendelea na Mafunzo hayo ya kutengeneza Mikoba, Pochi kwa kutumia Shanga |
Afisa ulinzi na usalama wa watoto kutoka shirika la CDF Sophia Temba akielekeza jambo katika mafunzo hayo
Sophia Temba ambaye ni Afisa ulinzi na usalama wa watoto kutoka shirika la CDF kushoto akiwa na Mkufunzi wa mafunzo hayo Frida Mwita wakielekeza jambo |
Akiongea na CLEO24NEWS Sophia Temba ambaye ni Afisa ulinzi na usalama wa watoto kutoka shirika la CDF. |
Frida Mwita Kutoka Dar Es Salaam ambaye ni Mkufunzi katika Mafunzo hayo ya Ujasiriamali kwa wasichana akiongea na CLEO24 NEWS
Washiriki wa Mafunzo hayo ambao ni Wasichaka kutoka kata za Bomani, Turwa na Nyamisangura. |