Saa chache baada ya aliyekuwa waziri wa habari,michezo sanaa na utamaduni Nape Nnauye kutengeliwa nafasi ya uwaziri,mchana huu amezungumza na vyombo vya habari licha ya mkutano wake kuzuiwa na vyombo vya dola.Nape amekubali yaishe