KAULI YA NAPE NNAUYE BAADA YA KUPIGWA CHINI WIZARA YA HABARI NA JPM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dr. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko madogo kwenye baraza la
Mawaziri ambapo sehemu ya mabadiliko hayo ni kumteua Waziri mpya wa
Habari, Sanaa, Utamaduni na michezo… na taarifa kamili ndio hii hapa
chini kutoka IKULU.
Aliyekuwa Waziri wa Habari Nape Nnauye
ameandika kupitia account yake ya Twitter ‘Ndugu zangu naomba TUTULIE!
LEO mchana nitakutana na Wanahabari na tutalizungumza hili. Nitawaambia
saa na mahali, kwasasa naomba TUTULIE!’