Wachuuzi Mkoni Shinyanga wakiwauzia Abiria bidhaa zao katika Stendi Kuu ya Mabasi mapema leo hii ambao waliokuwa wakielekea Dodoma na Dar es Salaam. Picha na Khamis Mussa