|
| Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe. Christina Mdeme
akizungumza na Kamati ndogo ya Mkoa inayoratibu Ujenzi wa mradi wa Uwanja wa
Michezo wa Kimataifa utakojengwa katika kata ya Nala Mjini Dodoma. |
 |
| Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Mkoa ya Uratibu
Mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Kimatafa Bw.Salum Mkuya akitoa mrejesho
wa mambo yaliyofanywa na Kamati yake kwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe. Christina
Mdeme (Hayupo Pichani) katika kuhakikisha Mradi huo unafanikiwa. |
 |
| Mjumbe wa hiyo ambaye ni Mwanasheria kutoka
Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw. Evordy Kyando akifafanua jambo
kwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe. Christina Mdeme (Hayupo Pichani) wakati Kamati hiyo ilipokutana na Mkuu huyo wa
Wilaya. |
 |
| Mjumbe wa hiyo ambaye ni Afisa Tawala Wilaya
ya Dodoma Bw. Hashimu Kitambuliyo akitoa maelezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe. Christina Mdeme (Hayupo Pichani) kuhusu mipango na mikakati iliyoweka
na Kamati hiyo katika kufanikisha Mradi huo. |
|
Picha na Raymond Mushumbusi