TFDA Watoa Mafunzo kwa Waandishi wa habari na wahariri Mkoa wa Mara na S...



Agness
Kijo Kaimu Meneja Mkuu TFDA akifafanua jambo katika Kikao kazi cha
Uhamasishaji kwa Waandishi wa habari na Wahariri kuhusu Usimamizi wa
Sheria ya Chakula, Dawa na Vipodozi Sura 219 kutoka Mikoa ya Simiyu na
Mara

Semina hiyo imefanyika Mkoani Simiyu kwa kushirikisha
Wahariri wa habari pamoja na Waandishi lengo kubwa ni kuwajengea Uwezo
katika kutambua Sheria ya Chakula na Dawa na Vipodozi Sura 219 na
kuendelea kuibua na kuandika habari kwa lengo la kuekimisha jamii kuhusu
Sheria hiyo.

Mkuu
wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka akifungua rasmi Mafunzo hayo
yaliyofanyika hii leo katika Ukumbi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mt
John Bariadi.



Baadhi ya Waandishi wa habari wakiwa katika Mafunzo hayo.




                  Wakibadilishana Mawazo





Adam Fimbo Mkurugenzi wa Dawa na Bidhaa Nyongeza TFDA Akifafanua jambo katika Semina hiyo.

Roberta
Feruzi Kaimu Meneja Elimu kwa Umma na Huduma kwa Wateja TFDA akifafanua
jambo katika Semina hiyo kwa Waandishi wa habari na Wahariri kutoka
Mikoa ya simiyu na Mara.

Iskari Tute Mwanasheria Mshauri TDFDA akifafanua Masuala ya sheria katika Semina hiyo

Gaudensia Simwanza Meneja Mawasiliano na uhusiano wa Umma TFDA akieleza jambo katika Semina hiyo

Pendo Mwakyembe Mwanadhishi wa habari kutoka Mara akichangia jambo katika Semina hiyo


Frank
Kasamwa Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Mara Simiyu na Mwandishi wa
habari kampuni ya Sahara Media Group akifafanua Jambo.

Patrick Mwankale Mwandhi wa Habari kutoka Victoria FM Mara akifafanua jambo katika Semina hiyo.


PICHA ZOTE NA CLEO24NEWS

Mkurugenzi
Mtendaji wa CLEO24NEWS ambaye pia ni Mwandishi wa RFA Mkoa wa Mara
Frankius Cleophace akifafanua na kuuliza swali katika Semina hiyo ambayo
imeshirikisha Waandishi wa habari na Wahariri kutoka Mikoa ya Simiyu na
Mara nakufanyika Mkoani Simiyu.


Magesa Mnibi Mutangazaji wa SACHITA FM RADIO Tarime Mara akifafanua jambo katika Semina hiyo.

Picha ya Pamoja Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa Simiyu Antony Mtaka na Waandishi wa habari kutoka Mkoa wa Simiyu.

Picha ya Pamoja Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa Simiyu Antony Mtaka na Waandishi wa habari kutoka Mkoa wa Mara.
Picha ya Pamoja Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa Simiyu Antony Mtaka na Watumishi kutoka TFDA.

,,,,Tazama Video hapa Chini kupata habari Kamili,,,,
Powered by Blogger.