RC Mtaka Simiyu TFDA sasa jengeni Ofisi kila Mkoa Tanzania



Mkuu
wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka akifungua rasmi Mafunzo kwa Waandishi wa habari na Wahariri katika
Kikao kazi cha
Uhamasishaji kuhusu Usimamizi wa
Sheria ya Chakula, Dawa na Vipodozi Sura 219 kutoka Mikoa ya Simiyu na
Mara

Semina hiyo imefanyika Mkoani Simiyu kwa kushirikisha
Wahariri pamoja na Waandishi lengo kubwa ni kuwajengea Uwezo
katika kutambua Sheria ya Chakula na Dawa na Vipodozi Sura 219 na

kuendelea kuibua na kuandika habari kwa lengo la kuekimisha jamii
kuhusu yaliyofanyika katika Ukumbi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mt
John Bariadi.

Mkuu
wa Mkoa huyo amesema kuwa TFDA kutokana na Sera ya Tanzania ya Viwanda
kuna haja kubwa ya kujenga Oifisi zao kila Mkoa hapa Nchini ili
kuongeza Ufanisi wa kazi

                ,,Tazama Video kupata haabari Kamili,,,,
Powered by Blogger.