Mkuu wa Mkoa Simiyu Mtaka, alichosema kuhusu Wahariri wa Vyombo vya haba...



Mkuu
wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka akiongea na waandishi wa habari katika
ufunguzi wa Kikao kazi cha Uhamasishaji kuhusu Usimamizi wa Sheria ya
Chakula, Dawa na Vipodozi Sura 219 kwa Waandishi hao pamoja na Wahariri
kutoka Mikoa ya Mara na Simiyu kilichoandaliwa na TFDA.

Mkuu wa Mkoa huyo amesema kuwa
Wahariri katika Vyombo vya habari wanabagua sana habari zinazotoka
Mikoani na kuzipa kipaumbele habari ambazo hazina tija. ,,Tazama Video hapa Chini alichokisema ,,,,,
Powered by Blogger.