DC Luoga atangaza Msimamo wake asema bora kubaki Mwenyewe lakini akasimam...



Mkuu
wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akiongea na Vyombo vya haabari hii
leo kuhusu suala la Mipaka ya hifadhi ya Serengeti na Wananchi kutoka
Kata ya Nyanungu,Kwihancha na Goronga ambapo amesema kuwa bora kubaki
Mwenyewe ili kusimamia Vyema Sheria na Kanuni kuliko kupotosha ukweli
kwa lengo la kunufaisha Mtu Mmoja au kundi fulani.

, ,,,Tazama Video hapa Chini alichokisema Luoga,,,
Powered by Blogger.