Wafanya biashara wakubwa Tarime wanatumia bodaboda kubeba Magendo

Issack
Masonda Afisa Mzuiaji Msaidizi Kitengo Cha Forodha Tanzania akiongea na
Waendesha Pikipiki Marufu Bodaboda Sirari hii leo walipokutana na
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime Rorya Henry Mwaibambe, ambapo
amesema kuwa wafanyabiashara wakubwa Tarime wanatumia Bodaboda kubeba
magendo jambo ambalo ni hatari kwao na kuwataka kuwa mabalozi wa kupinga
Magendo.
 
Tazama Video hapa chini alichokisema Masonda.


Powered by Blogger.