RPC Tarime Rorya Mwaibambe akutana na Bodaboda Sirari
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Polisi Tarime Rorya Henry Mwaibambe akiongea na Waendesha pikipiki Maarufu Bodaboda Sirari hii leo ambapo amepiga Vita suala la Bodoboda hao kutumika Vibaya katika kubeba magendo pamoja na Madawa ya Kulevya, huku akiwataka kufuata sheria za Usalama Barabarani na kutii sheria bila Shuruti. |
Bodaboda wakisiliza RPC Tarime Rorya Henrry Mwaibambe. |
Kutoka Kushoto ni Isaack Masonda ambaye ni Afisa Mzuiaji kituo cha Forodha Sirari, katikati ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Polisi Tarime Rorya Henry Mwaibambe akifuatia ni Mrimi Zabron ambaye ni Katibu wa Mbunge Jimbo la Tarime Vijiji John Heche wakiwa katika Kikao hicho. |
Ally Shaali R.T.O Tarime Rorya akiongea na Bodaboda na kusisitiza suala zima la kufuata Sheria za Usalama Barabarani. |
Said Kasim OCD Sirari akitoa changamoto zinazowakumba Bodaboda Sirari. |
Kamanda Henry akionyea baadhi ya Madawa ya Kulevya yaani mirungi ambayo imewkuwa ikisafiorishwa na Boda boda hao. |
Isaack Masonda ambaye ni Afisa Mzuiaji kituo cha Forodha Sirari akifafanua Sheria zinavyosema na kuwaomba boda boda hao kufuata taratibu za kubeba mizigo kutoka Nchi jirani ya Kenya. |
Picha ya pamoja. |
Bodaboda wakiongea na kamanda nje ya ukumbi. |
Kamanda Mwaibambe akijibu baadhi ya hoja za waendesha pikipiki nje ya ukumbi baada ya mazungumzo ya pamoja. |