Mkuu wa Wilaya Tarime Luoga atangaza Msako mkali kwa Wafanyabiashara was...
| Mkuu wa Wilaya ya Tarime Gloriuos Luoga akiongea na Waendesha Pikipiki Maarufu Bodaboda hii leo katika ukumbi wa bwalo la polisi kwenye ufunguzi wa Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani ambapo ametoa Tamko kuhusu Msako mkali utakaofanyika Kesho kwa Wafanyabiashara wote Wilayani Tarime Mkoani Mara wanaokwepa kodi kwa kutotumia Mashine za Kieletronic EFDs, "Nyumba za kulala Wageni, Maduka yote na Baa zote kwa kushirikiana naViongozi kesho tutaanza rasmi msako tutafunga kila kitu mpaka atakapolipia mashine hiyo tunafungua sasa " alisema Luoga. |
Tazama Video hapa chini akitoa tamko hilo Dc Luoga.