Dc Luoga Bodaboda Tarime Msitumike kubeba Magendo
| Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorius Luoga akiongea na Waendesha Pikipiki Maarufu Bodaboda Wilayani Tarime katika Ufunguzi wa Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani ambapo Mkuu wa Wilaya huyo amewataka bodaboda hao kutokubali kutumiwa vibaya na wafanyabiashara katika suala zima la ubebaji Bidhaa za Magendo na kuwataka kufuata sheria za Usalama Barabarani. |
| Bodaboda. |
| Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akiteta jambo la Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tarime Rorya Ally Shaali katika Ufunguzi wa Wiki ya Nenda Kwa Usalama Barabarani. |