Ufunguzi wa Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani Tarime Rorya Ilivyokuwa...
| Mwenyekiti wa kamati ya Usalama Barabarani Tarime Rorya Erenest Oyoo akisisitiza jambo katika ufunguzi wa Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani ilioyofunguliwa rasmi na Mkuu wa Wilaya ya Tarime, katikakati ni Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akifuatia Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tarime Rorya ambaye pia ni Katibu wa Kamati ya Usalama Barabarani Tarime Rorya Ally Shaali. |
| Bodaboda wakiwa katika Ukumbi wa Bwalo la Polisi Mjini Tarime. |
| Boda boda hao wakionyesha bango lenye ujumbe kwa mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga. |
| Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akionyesha bango lenye ujumbe |
| Mkuu wa Wilaya Tarime akiteta jambo na R.T.O Tarime Rorya Ally Shaali. |
| Inspector Anthony Kahema akisoma Risala kwa Mgeni rasmi. |
| Mkuu wilaya akikabidhiwa Risala. |
| Mkuu Wa Wilaya ya Tarime Glorous Luoga akiongea na Bodaboda hao ambapo amesisitiza suala zima la kufuata Sheria za Usalama Barabarani huku wakiondokana na ubebaji bidhaa za Magendo. |