Mbunge Matiko atoa Mifuko 45 ya Saruji Shule ya Msingi Nyandoto
| Peter Magwi katibu wa Mbunge Jimbo la Tarime Mjini CHADEMA Esther Matiko akikabidhi Mwenyekiti wa Mtaa wa Masurura Marwa Jackson na Mwalimu Mkuu shule ya Msingi Nyandoto kutoka kulia Mifuko 45 ya Saruji kwa jili ya kuunga Mkono nguvu za Wananchi katika ujenzi wa Vyumba Viwili vya Madarsa shule ya msingi Nyandoto Halmashauri ya Mji wa Tarime Mkoani Mara. |
| Ujenzi wa Vyumba Viwili vya madarasa katika shule ya Msingi Nyandoto. |
| Shule ya Msingi Nyandoto. |
Wakikagua ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya msingi Nyandoto.
Tazama Video hapa chini ili kupata habari kamili.