Ofisi ya Mbunge Matiko yakabidhi Mifuko 25 ya Saruji kwa ajili ya ujenzi...
| Peter Magwi katibu wa Mbunge jimbo la Tarime Mjini CHADEMA Esther Matiko akikabidhi Mifuko 25 kwa Mwenyekiti wa Mtaa wa Regoryo kata ya Nkende Francis Zaire kwa ajili ya ujenzi wa Shule Mpya Regoryo ambapo kwa sasa tayari wananchi wameanza na vyumba Vitatu vya Madarasa. |
| Mifuko 25 iliyokabidhiwa katika ofisi ya mtaa huo kwa ajili ya kuunga mkono nguvu za wananchi katika ujenzi wa shul hiyo Mpya. |