Mbunge Matiko atoa Mifuko 45 ya Saruji Shule ya Msingi Nyandoto

Peter
Magwi  katibu wa Mbunge Jimbo la Tarime Mjini CHADEMA Esther Matiko 
akikabidhi Mwenyekiti wa Mtaa wa Masurura Marwa Jackson  na Mwalimu Mkuu
shule ya Msingi Nyandoto kutoka kulia Mifuko 45 ya Saruji kwa jili ya
kuunga Mkono nguvu za Wananchi katika ujenzi wa Vyumba Viwili vya
Madarsa shule ya msingi Nyandoto Halmashauri ya Mji wa Tarime Mkoani
Mara.
Ujenzi wa Vyumba Viwili vya madarasa katika shule ya Msingi Nyandoto.
Shule ya Msingi Nyandoto.


Wakikagua ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya msingi Nyandoto.


               Tazama Video hapa chini ili kupata habari kamili.
Powered by Blogger.