Kembaki achangia Mifuko 50 ya Saruji shule ya Msingi Nyagesese

Diwani
wa kata ya Nyandoto CCM Fredy Sabega akimweeleza aliyekuwa mgombea
ubunge jimbo la Tarime Mjini CCM Michael Kembaki jinsi wananchi wake
walivyoweka nguvu katika ujenzi wa Vyumba Vitatu vya Madarasa Shule ya
Msingi Nyagesese ambapo Kembaki amechangia Mifuko 50 ya Saruji kwa lengo
la kuunga nguvu za Wananchi wa Mtaa wa Nyagesese.


Ujenzi
wa Vyumba Vitatu vya Madarsa katika Shule ya Msingi Nyagesese ambapo
wananchi kwa sasa wameanza Msingi wameomba wadau kujitokeza kwa lengo la
kuwaunga Mkono.
Tazama Video hapa chini  alichokesema Kembaki baada ya kutoa Mifuko 50 ya Saruji.

Powered by Blogger.