Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akiongea na Vyombo vya habari ambapo hii leo amejibu Kauli zilizokuwa zikitolewa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mara Samwel Kiboye Tazama Videohapa Chini alichokisema Dc huyo.