DC Luoga sasa Tarime tunajenga Nyumba Miamoja za Askari Polisi na Mage...






Mkuu
wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akiongea na Vyombo vya habari kuhusu
ujenzi wa Nyumba 100 kwa ajili ya Makazi ya Askari Polisi na Magereza
ili kupunguza Changamoto kubwa ya upungufu wa Nyumba za Askari hao.
Mkuu wa Wilaya ya Tarime akionyesha Tofali hizo.


Tofali ambazo zinaanda,iwa kwa ajili ya kutumika katika ujenzi wa Nyumba Miamoja za Askari Polisi na Magereza.


Tazama Video alichokisema Mkuu wa Wilaya ya Tarime Luoga kuhusu ujenzi wa Nyumba 100 za Askari Polisi na Magereza.
Powered by Blogger.