Wazee wa mila watoa tamko kuhusu kupiga vita ukeketaji Tarime
Wazee
wa Mila kutoka koo 05 kati ya koo 13 zilizopo Wilayani Tarime Mkoani
Mara wakiwa katika Semina ya mafunzo Mjini Musoma juu ya madhara ya
ukatili wa kijinsia ukiwemo ukeketaji semina iliyoandaliwa na shirika la
ATFGM Masanga chini ya ufadhili wa Foundation for Civil Society
Elias
Maganya ni Mzee wa koo kutoka koo ya Bukenye amesema kuwa baada ya
kpewa elimu ya kutosha kupitia mashirika mbalimbali likiwemo shirika la
ATFGM Masanga sasa watapita kila koo kwa ajili ya kutoa elimu juu ya
madhara ya ukeketaji huku wakilaani vikali suala zima la ukeketaji kwa
mtoto wa kike.
Naye
Katibu wa Baraza la wazee wa Mila koo13 za kikurya Mwita Nyasibora
amesema kuwa sasa jamii ikekete watoto kiakili na siyo kimwili.
"Lazima
sisi wazee wa mila tukishatoa tamko hakuna atakayepinga na sisis koo
yetu watnbaru taayri tumeishaondokana na ukeketaji bali tunapaka unga
labla koo ya wairege ndo haijapata elimu ya kutosha lakini tutafika na
kuongea na wazee" alisema Mwita.
Dickson Jsephat katibu wa Ushiirika wa ATFGM Masanga akitoa elimu juu ya madhara ya ukeketaji kwa wazee wa Mila ambapo wameshiriki pia madaktari pamoja na maofisa ustawi wa jamii idara ya ya Afya. |
Elimu inaendelea kutolewa. |
Katibu wa Ushirika ATFGM Masanga Dickson Josephat akifafanua jambo katika semina hiyo. |
Mahojiano. |
TAZAMA VIDEO TAMKO LA WAZEE WA MILA. |