Mkuu wa kikosi cha usalama Barabarani Nchini Fortunatus ampongeza Matiko Mbunge
Mkuu wa kikosi cha Usalama Barabarani nchini Fortunatus Muslim alipoongea na CLEO24 NEWS kupitia Simu amempongeza Mbunge wa Jimbo la Tarime Mjini Esther Matiko CHADEMA kwa kushirikiana vyema na jeshi la Polisi Kikosi cha usalama Barabarani Mkoa wa Polisi Tarime Rorya kufanikisha jengo la Ofisi hiyo kwa asilimia 40% ambazo alichangia Mbunge huyo. |
"Wapo
Viongozi wengi wa upinzani ambao hawako tayari kushirikiana na
Serikali lakini Mbunge Matiko ameweza kufanya hivyo wengine sasa waige
mfano huo na sisi changamoto ya Mtambo wa leseni tunaufanyia kazi"
alisema Muslim.

Aliongeza
kuwa jeshi la polisi limetambua mchango wake Mbunge Matiko huku
akiwasihi watanzania kuendelea kufuata sheria za usalama Barabarani,
kuwa jeshi la polisi limetambua mchango wake Mbunge Matiko huku
akiwasihi watanzania kuendelea kufuata sheria za usalama Barabarani,
Mbunge Matiko akionyesha cheti alichotunukiwa na jeshi la polisi kikosi cha usalama Barabarani kwa kutambua mchango wake katika ufunguzi wa maadhimisho ya siku ya nenda kwa Usalama Barabarania ambapo kitaifa imegfanyika Mkoani Kilimanjaro na na mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais Mh Samia Suluhu Hassan |
Waziri wa mambo ya ndani Mh Mwigulu Nchemba akikabidhi cheti hicho kwa Mbunge wa jimbo la Tarime Mjini Esther Matiko CHADEMA. |
SIKILIZA ALICHOKISEMA FORTUNATUS MKUU WA KIKOSI CH AUSALAMA BARABARANI NCHINI NA MBUNGE ESTHER MATIKO.