Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano January Makamba akihutubia wanachi katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mto Mara ambayo ufanyika kila Mwaka kwa kushirikisha Nchi ya Tanzania na Kenya ambapo mwaka huu maadhimisho hayo yamefanyika Tanzania Wilayani Tarime Mkoani Mara. |
Waziri akipewa maelezo katika Vibanda vya Maonyesho. |
Mkulima akieleza jinsi ya matumizi ya kilimo bora. |
Denis Damian kutoka Bank ya CRDB Tawi la Tarime akieleza waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano January Makamba jinsi wanavyotoa huduma kwa wateja |
Waziri akioneshwa Mipaka ramani inayoonesha wanyama ambao wanaingia Nchi ya Kenya. |
Meneja wa Kampuni ya Mara Online Maurine Magaria akimweleza Waziri kampuni hiyo inahusika na kitu gani. |