Uchumi wa Tanzania unaendelea kukua
Katibu Mtendaji Baraza la Taifa Uwezeshaji Wanachi Kiuchumi Bengi Issa akiwasilisha Mada hii leo katika Tamasha la 14, 2017 lililoandaliwa na TGNP Mtandao ambalo limefunguliwa rasmi jana na Makamu wa Rais Mh Samia Suluhu Hassan. |
Mkurugenzi Idara ya Kuondoa Umaskini Wizara ya Fedhana Mipango Anna Mwasha akiwasilisha mada ambapo amewataja Watanzania wakiwemo akina mama kuunda Vikundi mbalimbali ili kupewa Mikopo kwa lengo la kujikwamua kiuchumi. |
Mratibu wa Ardhi kutoka Shirika la Care International Marry Ndaro akiwasilisha mada ambapo amezungumzia masuala ya umiliki wa ardhi kwa wanawake sera inapaswa kutoa kipaumbele kwa mwanamke ili aweze kumiliki ardhi. |
Mratibu wa Masuala ya Ujumuishwaji kutoka shirika la Sight Savers Angela Michael akiwasilisha Mada katika Tamasha hilo. |
Mkurugenzi Mtendaji TGNP Mtandao Lilian Liundi akichangia mada hii leo katika Tamasha ambapo amesema kuwa bila mwanamke kumiliki ardhi bado suala la kukua kiuchumi kwa mwanamke ni changamoto kubwa ususani Maeneo ya Vijijini. |
Siti Abbas Ali kutoka Shirika la Zanzibar Coalition akichangia mada ambapo amesema kuwa mwanamke wa Zanzibar anakumbwa na changamoto katika kuchagua na kuchaguliwa ngazi za uongozi. |
Washiriki katika Tamasha hilo. |
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia matukio katika Tamasha hilo. |
Wanafuatilia Mjadala huo. |
Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini Esther Bulaya akieleza alivyodhubutu kama mwanamke na kuweza kuchaguliwa na wananchi bila kujali Mila na Desturi. |
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI. |