Mratibu wa Ardhi kutoka Shirika la Care International Mary Ndaro akiwasilisha mada ambapo amezungumzia masuala ya umiliki wa ardhi kwa wanawake sera inapaswa kutoa kipaumbele kwa mwanamke ili aweze kumiliki ardhi. TAZAMA VIDEO HAPA CHINI ILI UPATE ELIMU ZAIDI.