Search for Common Ground tunza Mazingira kwa Amani Endelevu


Afisa
Mradi  kutoka Shirika la Search For Common Ground Antony Gunita akitoa
Maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara Dr Charles Mlingwa ni baada ya
kutembelea banda lao katika Maonyesho ya Siku ya Mto Mara ambayo
ufanyika kila Mwaka 15 Septemba  kwa kushirikisha Nchi ya Tanzania na
Kenya ambapo Mwaka huu yameafanyika Nchini Tanzania katika Wilaya ya
Tarime Mkoani Mara.



Mkuu wa Mkoa wa Mara Dr Charles Mlingwa akiuliza Swali
TAZAMA VIDEO AFISA MRADI WA SHIRIKA HILO AKIELEZA KWA MKUU WA MKOA WA MARA LENGO LA SHIRIKA KATIKA JAMII.

Powered by Blogger.