Machage achuguliwa tena Makamu Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya Tarime
Kura za Makamu Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya Tarime zikihesabiwa baada ya uchaguzi huo hii leo katika Ukumbi wa Halmashauri hiyo. |
Mkurugezni wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Apoo Castro Tindwa ambaye pia ni msimamizi wa uchaguzi akionesha wajumbe baasha yenye majina ya wagombea. |
Mkurugezni wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Apoo Castro Tindwa ambaye pia ni msimamizi wa uchaguzi akisoma majina ya wagombea. |
Afisa utumishi Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Kelvin Mkirya akitoa utaratibu wa Chaguzi hizo. |
Aliyekuwa mgombea makamu mwenyekiti kupitia ccm John Mbusiro akiomba kura ambapo amepata kura 14 kati ya 34. |
Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Bathromeo Machage CHADEMA akipiga kura ambapo ameibuka Mshindi kwa kura 20 kati ya 34 . |
Aliyekuwa Mgombea CCM akipiga kura. |
TAZAMA VIDEO ALICHOKISEMA MAKAMU MWENYEKITI BAADA YA KUCHAGULIWA. |