Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Moses Misiwa Yomami akieleza jinsi vikundi vya Vijana na akina Mama vilivyonufaika kupitia asilimia 10 ya mapato ya Halmashauri hiyo ambapo zimetolewa Mill 220 katika mwaka wa fedhja 2017-2018. TAZAMA VIDEO ALICHOKISEMA.