TAZAMA VIDEO: MADIWANI TARIME MJI KILIO CHETU KIFIKE KWA MH: RAIS MAGUFULI


Madiwani
wa Halmashauri ya Mji wa Tarime Mkoani Mara wakiwa katika Baraza la
Kufunga mwaka2016-2017 na Kuchagua Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri
pamoja na kamati mbalimbali 


Mbunge wa Viti maalum CHADEMA  Mkoa wa Mara Joyce Sokombi akichangai hoja katika Baraza hilo
Mbunge
wa jimbo la Tarime Mjini Esther Matiko akichangia hoja kuhusu  ya 
Halmashauri ya Mji wa Tarime kubomoa majengo ya Shule ya Msingi Mturu
ambayo yamejengwa Uwanja wa ndege kwa nguvu za wanachi kuwa wamevamia 
eneo la mwekezaji wa Viwanda lakini Mwekezaji ameshindwa kuendeleza eneo
hilo na ikapelekea wanachi kujenga Shule.
Makamu Mwenyekiti aliyechaguliwa kwa awamu ya pili Bashir Abdalah akitoa hoja katika baraza hilo





Diwani wa kata ya Kitare Leonard Kasuku akichangia hoja katika Baraza hilo.
Diwani wa kata ya Nkende Daniel Komote akichangia hoja  katika Baraza hilo.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime Elias Ntiruhungwa akijibu hoja za madiwani hao
TAZAMA
VIDEO MADIWANI WALICHOKISEMA KUHUSU KUBOMOLEWA MAJENGO YA SHULE YA
MTURU KATA YA TURWA  INAYOJENGWA KWA NGUVU ZA WANACHI ENEO LA MWEKEZAJI.
Powered by Blogger.