WAFANYABIASHARA WADOGO TARIME WAMPONGEZA MBUNGE MATIKO KWA KUWAFUNGIA SOLA ZA MWANGA KATIKA SOKO LA JIONI
Mbunge wa jimbo la Tarime Mjini kupitia CHADEMA Esther Matiko akiongea na akina mama ambao ni wafanyabiashara wadogowadogo wanaouza Mbogamboga katika soko la jioni Serengeti kuhusu Sola za Mwanga alizofunga ili kuwaondolea hadha ya kutumia Mishumaa, na Vibatari. |
Mbunge Matiko akisalimiana na mmoja wa wauza mboga za majani katika soko hilo. |
Sola zilizofungwa na Mbunge wa Jimbo la Tarime Mjini Esther Matiko zenye thamani ya Shilingi Millioni 15 kwa Kushirikiana na PSPFambapo Mbunge huyo amesema kuwa ametoa shililingi millioni Kumi na PSPF Millioni Tano lengo ni kusaidia akina mama katika biashara zao za jioni. |
Mmoja wa akina mama mfanyabiashara wa kuuza Nyanya na Dagaa akitoa shukrani kwa Mbunge |
TAZAMA VIDEO WAFANYABIASHARA WAKITOA SHUKRANI KWA MBUNGE MATIKO.