MKURUGENZI WA KOMOTE INSURANCE AGENCY ABAINI MADUDU YA BIMA FEKI KATIKA STARD YA BWERI MUSOMA
mwenye jezi ya dark blue nimmoja ya madereva wa gari za abiria akipata ufafanuzi kuhusiana na bima feki na halari
Mkurugenzi wa kampuni ya utoaji wa Bima kanda ya ziwa komote insurance Agency kwa kushirikiana na mamlaka ya bima Tanzania wameendesha zoezi la kukagua na kutoa elimu kwa watumiaji wa vyombo ya moto katika mkoa wa mara,ambao wamekua wakipata changamoto nyingi ikiwemo kukatiwa Bima feki.
Kutokana na semina ambayo iliendeshwa katika ukumbi wa MCC musoma mkoani mara kwa kushirikisha wadau mbalimbali baada ya kupata elimu hiyo sasa kampuni ya komote iliendesha zoezi hilo la utoaji elimu kwa watumiaji wa vyombo vya moto pamoja na kukagua bima feki na halali.
Ambapo ilibainika changamoto kubwa nikutokana na watumiaji nahata wamiliki kutokuwa nauelewa mkubwa kuhsiana na na swala zima la Bima hivyo wengi kujikuta wakiwa wamekatiwa bima feki.
Komopte alisema kuwa ni bora zoezi hilo likawaendelevu kwa baadhi ya watu ambao wamekuwa wakijiita watumiaji na wakataji wa bma kuendelea kuwatapeli wananchi jambo ambalo nihatari katika jamii hii ambayo inayo uhitaji mkubwa wa kuendelea kupewa elimu.
‘Wengi wanaenda kukata bima mtaani na ofisi ambazo hazitambuliki sasa hili nitatizo kubwa wanajikuta wameibiwa bilakufaham nasisi tukija kufatiria tunakuta bima hizi hazitambuliki sasa hii nichangamoto sana”alisema komote.