Video: Picha katika Matukio Makamu wa Rais akipanda Mti katika Msitu wa ...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassani akipanda Mti katika Msitu wa Muhunda Butiama Mkoani Mara kwa Baba wa Taifa Hayati Julius Kambarage Nyerere hii leo katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mazingira ambapo kitaifa yamefanyika Wilayani Butiama Mkoani Mara.
Mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt Charles Mlingwa akipanda Mti
Mkurugenzi wa Wilaya ya Rorya Charles Chacha akimwekea maji Katibu Tawala Mkoa wa Mara baada ya kupanda Mti.
Kiongozi wa Dimi ya Kiislam akipanda Mti
Mkurugezi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Charles Chacha akipanda Mti katika Shamba la Muhunda Butiama
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh January Makamba akitoa udongo kwa ajili ya kupandaMti
Naibu waziri wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Makazi Angeline Mabula akimwagilia maji Mti baada ya kupanda katika Msitu wa Baba wa Taifa Hayati Julius Kambarage Nyerere
Mkuu wa Wilaya ya Musoma Vicent akipanda Mti.
Madaraka Nyerere akipanda Mti
Chifu Wanzagi akieleza Makamu wa Rais jinsi Ndege ya viti ilivyodondoka katika Msitu wa Muhunda Butiama mwaka 1978
Akiweka Shada la Maua Makamu wa Rais katika Mnala wa kumbukumbu ya ajali ya Ndege ya kivitaya JWTZ ambayo iliangka katika msitu wa Muhunda Butiama mwaka 1978