Video,Picha katika Matukio kilele cha Siku ya Mazingira Duniani Kitaifa yamefanyika Wilayani Butiama Mkoani Mara Makamu wa Rais Mh: Samia Suluhu amewataka watanzania kutunza Mazingira.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan akiongea na Wanachi wa Butiama katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani ambapo kitaifa yamefanyika Mkoani Mara Butiama katika Viwanja vya Mwenge ili kuenzi Baba wa Taifa Hayati Mwl Julius Kambarage Nyerere. |
Grace Kisyombe ambaye ni Afisa Uhusiano Tanesco Makao Makuu akisalimiana na Makamu wa Rais baada ya kufika katika Banda la Shirika la Umeme Tanzania TANESCO |
Grace Kisyombe ambaye ni Afisa Uhusiano Tanesco Makao Makuu akieleza Makamu wa Rais Jinsi wanavyotoa Huduma kwa Wananchi. |
Mwenyekiti wa kikundi cha Serengeti Arts Group Paulina Boma akieleza Makamu wa Rais jinsi kikundi hicho kinavyofanya kazi za mikono. |
Makamu wa Rais akipokea zawadi ya kikapu kutoka kwa Mwenyekiti wa Kikundi cha Serengeti Arts Group Paulina Boma. |
Makamu wa Rais akitoa Shukrani zake baada ya kupewa zawadi |
Makamu wa Rais akisalimiana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Apoo Castro Tindwa baada ya kufika katika Banda la Halmashauri hiyo |