VIDEO NA PICHA KATIKA MATUKIO TOFAUTI:WATANZANIA TUMIENI FURSA ZILIZOPO KUEPUKA UHARIBIFU WA MISTU.
Wandishi wa habari wakipata semina kuhusiana na jiko hilo ambalo limetengeneza kwa vifaa vya kawaida vikiwemo vioo. |
Heikki Lindfors Field Operation akitoa mafunzo kwa wandishi wa habari kuhusu Umhimu wa Jiko hilo linalotumia Sola kutokana na Mionzi ya Jua. |
Kaimu mkurugenzi wa bodi ya Global Resource Alliannce kulia kwake ni Heikki wakijadili na wandishi mara baada ya mafunzo. |
Jiko linatumia mionzi ya jua kufanya shughuli zake. |
Heikki akionesha jiko linavyofanya kazi. |
Kushoto ni jiko nakulia ni solar ambae imetengenezwa na vioo vya kawaida. |
Kaimu Mkurugenzi wa Global Resource Alliance Tanzania Madaraka Nyerere akizungumza na wandishi wa habari. |
Maandalizi ya Maonyesho hayo vibanda vya Maonyesho |
Maandalizi ya Maonyesho hayo vibanda vya Maonyesho |
Benedeta Monika Macha akiwaeleza wanahabari jinsi alivonufaika na GoSol |
Shirika la
finland wartsila linijulikanalo kama GoSol wameadaa mashine inayotumia mionzi
ya jua kwa lengo la kuondokana na uharibifu wa mazingira ikiwemo ukataji miti
na uchomaji wa mikaa kwa Wingi hapa Nchini.
Wakizungumza
na waandishi wa habari katika viwanja vya mwenge wilayani Butiama mkaoni mara
BW.Heikki Lindfors ambae ni Afisa uwandani( FIELD OPERATIONS)amesema kuwa lengo
la kutengeneza mashine hiyo ni kuwawezesha watanzania kuepukana na utumiaji
mikaa ambayo inaweza kuleta athari katika maeneo yao.
‘’ Inasaidia sana unapokuwa unatumia kwani
tunawanawake ambao tumeanza nao wanaoka mikate kupitia mashine hii ambayo
inatumia mionzi ya jua. Alisema.Bw,heikki lindfors.’’
Mashine hiyo
haiathiri utumiaji wake kwani inasaidia kutoa ajira kwa kupitia vikundi ambavyo
vitaundwa mpaka sasa wameaza na vikundi vitatu na baadae kuongeza hadi kufikia
vikundi vitano na kudai kuwa lengo ni kuwafikia watanzania wote kwa lengo la
kuondokana na utumiaji wa mikaa ili kuendelea kuifadhi Mistu.
Mashine ya WARTSILA nikati ya mrandi ambao uko
kwajiri ya kuwasidia watu ambao wakao katika kikundi na endapo utakamilika
utasambazwa kwa wananchi.
Kwaupande wake
kaimu mkurugenzi wa bodi ya Global
Resource Alliance Tanzania Madaraka Nyerere amesema serikali kwa
kushirikiana na taasisi za kifedha ili kuwawezesha vikundi hivyo kupata hizo
mashine kwa lengo la kuanzisha miradi ya Bidhaa mbalimbali kwa kutumia jiko
hilo.
Pia ameongeza
kuwa ni vyema wanamara wakatumia fursa hiyo pindi itakapoanza kwa lengo la kupunguza
utumiaji mikaa ili kuepuka kuathiri maisha yao kwani mashine hiyo ni nzuri na
haliathiri kitu chochote kwa maisha ya binadamu.
Madaraka
ameishukuru serikali kuazimisha siku ya mazingira wilayani Butiama kama mchango
wa kumuenzi Baba wa Taifa hayati Mwl.julius Kambarage Nyerere na kitendo cha
kupanda miti kwenye msitu wake nikama mmoja ya chachu kubwa ya kumuenzi.
Kauli mbiu
ya maadhimisho hayo ni hifadhi mazingira mhimili wa Tanzania ya Viwanda.
Kote dunia
mpaka sasa nizaidi ya Tani 9 zimeokolewa kutokana na uwepo wakifaa hicho kwani
ukataji miti umepungua.
Aidha mkuu
wa wilaya ya Butiama Bi.Annarose Nyamubi amewataka wananchi kujitokeza katika
maadhimisho hayo ilikujifunza mambo mbalimbali kuhusiana na mazingira kutokana
na maada ambazo zitakuwepo kwani kutakuwepo na kongamano litakalo husika
najadili maada hizo.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI