MWONEKANO WA DARAJA LA FURAHISHA JIJINI MWANZA BAADA YA KUKAMILIKA.
Daraja jipya la Furahisha lililopo
barabara ya kuelekea uwanja wa ndege wa Mwanza, limekamilika na sasa
limeongeza chachu ya uzuri wa Jiji hilo.
Hili ni daraja la pili la watembea kwa
miguu Jijini Mwanza baada ya lile la Mabatini lililopo barabara ya
kuelekea stendi ya mabasi Buzuruga. Uzinduzi wa daraja la Furahisha
unatarajiwa kuvuta hisia za wakazi wengi wa Jiji la Mwanza.
#BMGHabari
Mwonekano wa daraja la Mabatini Jijini Mwanza