WANANZENGO WA 102.5 LAKE FM MWANZA WALIVYOADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI.
Mei Mosi 2017, umefanyika uzinduzi wa
kampeni ya "Ng'arisha Nzengo, Uchafu Nuksu" inayoratibiwa na 102.5 Lake
Fm Mwanza @lakefmmwanza #RahaYaRockCity #RedioYaWananzengo
Kampeni inalenga kuhamasisha jamii kuweka mazingira katika hali ya usafi muda wote huku Wananzengo wa minadani wakipata fursa ya kipekee.
Endelea kuitegea sikio 102.5 #LakeFm Mwanza kwa burudani na habari zaidi.
@bmghabari @gbpazzo ©Ng'arishaNzengoUchafuNuksi√√√√