WANANCHI WAIOMBA SERIKALI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA UJENZI WA SHULE MPYA KIHERO.

Wanakijiji wa kitongoji cha Kihero Kijiji Kemakorere kata ya Nyarerowilayani Tarime Mkoani Mara wakiendeleza juenzi wa shule ya Msingi Mpya Kihero.

Wananchi wa Kitongoji cha Kihero wakiwa katika Mkutano kwa ajili ya kujadili sualza zima la maendeleo ukiwemo ujenzi wa Shule hiyo Mpya.




Wananchi hao wameiomba Serikali kuingilia kati kwa lengo la kuwasaidia ili shule hiyo iweze kupata usajili kwa lengo la kunusuru watoto ambao wanatembea umbali mrefu kufuata Elimu.

Wanachi hao wamedai wanafunzi wanatembea umbali wa kilometa kumi kwenda na kurudi  ili kufika shuleni.

Mjumbe wa Serikali ya kijiji akiongea na CLEO24NEWS

Wananchi wakisomba Mawe kwa ajili ya ujenzi wa shule hiyo.


Powered by Blogger.