Picha: katika Matukio tofauti Kikosi cha usalama Barabarani Tarime Rorya Wafanya ukaguzi wa Magari Shule za Binafsi.
Jeshi la Polisi wakikagua Magari hii leo. |
Ukaguzi |
Baadhi ya Magari yakitolewa Namba baada ya kuwa na Mapunguufu. |
Magari 05 kati ya 16 yametolewa namba kwa sababu ya makosa makubwa. |
Ukaguzi unaendelea. |
Mkuu wa kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Polisi Tarime Rorya Joseph Bukombe akiangalia namba za moja ya Gari ambayo haikidhi vigezo |
R.T.O akiongea na wamiliki wa Magari hayo baada ya ukaguzi |
Mkuu wa kikosi cha Usalama Barabarani Joseph Bukombe akiongea na Vyombo vya Habari baada ya ukaguzi wa Magari hayo |
Ezbon Peter Mwera Mkurugenzi Msaidizi Mwera Foundatio akiongea na Vyombo vya Habari |
Sr Elly Kyangai akiongea na vyombo vya Habari. |