SHIRIKA LA PLAN INTERNATIONAL KWA KUSHIRIKIANA NA CDF WAZINDUA MRADI AWAMU YA PILI KUPINGA UKEKETAJI NA NDOA ZA UTOTONI MKOA WA MARA NA GEITA .

Mkuu wa Wilaya ya Tarime Gloriuous Luoga akizindua rasmi Mradi wa kupinga Ndoa za utotoni awamu ya pili katika kata Tano wilayani Tarime Mkoani Mara kata hizo ni Mbogi, Binagi, Regicheri, Komaswa na Pemba kutoka kushoto aliyevaa miwani ni Baraka Mgohamwende kutoka shirika la Plan International Mkoa wa Mwanza.

Mradi huo unatekelezwa na shirika la Plan International kwa kushirikiana na Shirika la Jukwaa la utu wa Mtoto CDF.

Emma Mashobe Meneja Mradi wa kupinga Ukeketaji na Ndoa za Utotoni  akifafanua juu ya Mradi awamu ya pili ulizinduliwa na Mkuu wa wilaya ya Tarime Luoga.

Devotha Albinus Afisa Mradi wa kupinga Ndoa za utotoni Shirika la NELICO  Mkoa wa Geita

Shaban Shaban Mratibu wa  Mradi wa Kupinga Ukeketaji na Ndoa za utotoni Shirika la Plan International Wilayani Tarime mkoani Mara.

Baraka Mgohamwende kutoka shirika la Plan Internationali Mkoa wa Mwanza akizungungumzia juu ya Mradi huo.

Bertha Maturo kutoka shirika la Jukwaa la Utu wa Mtoto CDF Kutoka Dar es Salaam  akiongea kwa niaba ya Mkurugenzi wa shirika hilo Koshuma Mtengeti ambao wanashirikiana na Plan International kutekeleza Mradi huo.

Kambibi Kamugisha kutoka shirika la Jukwaa la utu wa Mtoto CDF Tarime

Restuta Mpate kutoka shirika la CDF

Shaban Shaban Mratibu wa  Mradi wa Kupinga Ukeketaji na Ndoa za utotoni Shirika la Plan International Wilayani Tarime mkoani Mara akiwasilisha taarifa ya Mradi wa awamu ya kwanza ambao umemalizika katika kata tano.

OCD Sirari
















Mkuu wa wilaya ya Tarime Glorious Luoga akizungumza na wadau wa masuala ya kupinga ukeketaji na Ndoa za utotoni wakiwemo watendaji wa kata, Viongozi wa Dini, Mashirika katika ukumbi wa Blue Sky mjini Tarime hii leo kabla ya uzinduzi wa Mradi wa awamu ya Pili katika kupinga ukeketaji na Ndoa za utotoni kupitia Shirika la Plan International kwa kushirikiana na shirika la Jukwaa la Utu wa Mtoto CDF ni katika Mkoa wa Mara na Geita.


Mradi ukizinduliwa rasmi

Mkuu wa wilaya ya Tarime Luoga akitazama kitabu chenye ujumbe juu ya masualaya kupiga vita ukeketaji na Ndoa za Utotoni.


OCD Nyamwaga Mourice Okinda akikabidhiwa kitabu hicho

OCD Sirari akikabidhiwa kitabu hicho




Watendaji wa kata Tano za Mradi wakikabidhiwa vitabu hivyo.

Afisa Elimu Sekondari Wilaya ya Tarime akikabidhiwa kitabu hicho


Afisa maendeleo ya Jamii wilaya ya Tarime akikabidhiwa kitabu hicho

Mwakilishi wa jeshi la polisi akikabidhiwa kitabu hicho

Hakimu Mkazi Mahakama ya Mwanzo Nyamwigura Bhoke Kubyo akikabidhiwa kitabu hicho


Picha ya pamoja

Emma Mashobe Meneja Mradi wa kupinga Ukeketaji na Ndoa za Utotoni akiongea na CLEO24NEWS hii leo baada ya uzinduzi wa Mradi.

Devotha Albinus Afisa Mradi wa kupinga Ndoa za utotoni Shirika la NELICO  Mkoa wa Geita akiongea na CLEO 24 NEWS baada ya uzinduzi wa Mradi wa kupinga ukeketaji na Ndoa za utotoni katika Mkoa wa Mara na Geita.

Baraka Mgohamwende kutoka shirika la Plan Internationali Mkoa wa Mwanza akiongea na CLEO24NEWS baada ya uzinduzi wa Mradi huo.

Bertha Maturo kutoka shirika la Jukwaa la Utu wa Mtoto CDF  Dar es Salaam akiongea na CLEO24 NEWS kwa niaba ya mkurugenzi wa Shirika hilo baada ya uzinduzi wa Mradi huo.

Hakimu Mkazi Mahakama ya Mwanzo Nyamwigura Bhoke Kubyo akiongea na CLEO24NEWS

 PICHA ZOTE NA CLEO24NEWS UKIWA NA HABARI PICHA  NA MATUKIO PIGA SIMU NAMBA 0766424928

Powered by Blogger.