R. T. O. TARIME RORYA BUKOMBE AKUTANA NA WAMILIKI WA SHULE BINAFSI, WAZUNGUMZIA SUALA LA USALAMA BARABARANI ATOA WIKI MOJA KUFANYIA MAREKEBISHO MAGARI YAO.

Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani Mkoa wa Polisi Tarime Rorya Joseph Bukombe akiongea na CLEO24NEWS baada ya kikao cha pamoja na wamiliki binafsi wa Shule za Sekondari na Msingi Tarime Rorya Juu ya Usalama Barabarani na ubora wa Magari yao ambayo yanatumika kubeba watoto wa shule.

Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani Mkoa wa Polisi Tarime Rorya Joseph Bukombe akiongeaakiongea na wamiliki na wakuu wa shule za binafsi kuhusu suala zima la usala barabarani na matumizi ya vyombo vya moto na kutoa wiki moja kila mtu kutimiza mashariti.

Wamiliki wa shule za binafsi na walimu wakuu  kutoka Mkoa wa Polisi Tarime Rorya wakisikiliza R.T.O


Picha ya Pamoja.

Ezbon Peter Mwera kutoka Mwera Vision akiongea na CLEO24 NEWS baada ya kukutana na RTO Tarime Rorya.


Powered by Blogger.