Meneja PSPF akikabidhi Solar zenye thamani ya shilingi Millioni Tano
amesema kuwa solar hizo zitafungwa katika maeneo ya masoko likiwemo soko la
jioni Serengeti pamoja na Soko Kuu Mjini Tarime Mkoani Mara kwa
lengo la kusaidia akina mama wajasiriamali wapatao wanaotumia vibatari na
mishumaa nyakati za usiku katika kuuza bidhaa zao, Hata hivyo Meneja
amewataka wajasiriamali kujiunga na Mfuko wa Mpango wa Uchangiaji
wa Hiari (PSS) ,Mfuko huo unalenga mtu yeyote mwenye sekta iliyo rasmi au isiyo
rasmi(Wajasiriamali) Kiwango chake cha chini 10,000 unalipia kupitia njia ya
Simu,Banki, au Max Malipo pia uanapata Mafao mbalimbali kama fao la
ujasiriamali na Bima ya Afya N.k
|