KAULI ZA DR. KIGWANGALA BAADA YA RAIS MAGUFULI KUPOKEA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MCHANGA WENYE MADINI
May 24, 2017 Rais Magufuli amepokea
ripoti ya Kamati ya Maalum iliyochunguza Mchanga wa Madini kwenye
Makontena ambapo pamoja na mambo mengine yaliyogundulika JPM amemtaka
Waziri mwenye dhamana kujitathmini.
Jambo hilo limegusa hisia za watu wengi mmoja akiwa ni Naibu Waziri wa Afya Dr. Hamisi Kigwangalla ambaye aliitumia account yake ya Twitter kuandika haya:
“Alichokifanya
leo Rais Magufuli kwenye sekta ya madini ni jambo la kizalendo na kwa
hakika litaleta mabadiliko, nilisema hivi tangu 2011.” – Kingwangala