Picha: SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA RAIS WA TLS TUNDU LISSU
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai
akisalimiana na Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS)
Mhe.Tundu Lissu walipofika na Ujumbe kutoka TLS kumtembelea ofisini
kwake Bungeni Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai
akizungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS)
Mhe.Tundu Lissu na ujumbe wake walipomtembelea ofisini kwake Bungeni
Mjini Dodoma.
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Mhe.Tundu Lissu
akimueleza jambo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Job Ndugai alipofika kumtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma pamoja na
viongozi wengine wa TLS.
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Mhe.Tundu Lissu
akimuonesha kitabu chenye nyaraka kadhaa za Chama cha Wanasheria wa
Tanganyika (TLS) Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Job Ndugai alipofika kumtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma pamoja na
viongozi wengine wa TLS.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai
akipokea kitabu chenye nyaraka kadhaa za Chama cha Wanasheria wa
Tanganyika (TLS)kutoka kwa Rais wa chama hicho Mhe.Tundu Lissu wakati
viongozi wa Chama hicho walipofika kumtembelea Ofisini kwake Mjini
Dodoma pamoja na viongozi wengine wa TLS.