NAMNA JULIA ROBERTS ALIVYOWABAMBA LIONEL MESSI NA RONALDO
Mwanamama
muigizaji nyota kutoka Hollywood nchini Marekani alikuwa kati ya watu
walioshuhudia mechi ya El Clasico wakati Barcelona ikiitwanga Real
Madrid kwa mabao 3-2 mjini Madrid.
Lakini
Julia akawa ni mwenye bahati zaidi baada ya kupata nafasi ya kuzungumza
na kupiga picha na Lionel Messi wa Barcelona pia staa wa Madrid,
Cristiano Ronaldo.