Kikosi cha Simba kimeamua kuhamia mkoani Morogoro.
Simba wameondoka jana kwenda Morogoro kwa ajili ya kuweka kambi kujiandaa na mechi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Azam FC.
Mechi ya michuano hiyo hatua ya nusu fainali itachezwa Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.