MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI NA MBILI MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO APRIL 25, 2017.
Mwenyekiti
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Andrew Chenge akiongoza
kikao cha kumi na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Aprili 25, 2017.
|
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Isack
Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na mbili cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 25, 2017.
|
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Hamadi
Masauni akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na mbili cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 25, 2017.
|
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 25, 2017. |
Mbunge wa Karagwe (CCM) Mhe Innocent Bashungwa akiuliza
swali katika kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 24, 2017.
|
Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Mhe. Sabrina
Sungura akiuliza swali katika kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 25, 2017.
|
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe. Hamida Mohamed Abdallah
akiuliza swali katika kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 25, 2017.
|
Mbunge wa (CCM) Mhe. Albert Obama Ntabaliba akiuliza
swali katika kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 25, 2017.
|
Mbunge wa Karagwe (CCM) Mhe Innocent Bashungwa akiuliza
swali katika kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 24, 2017.
|
Wabunge wakifuatilia hoja mbalimbali katika kikao
cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 24,
2017.
|
Picha na Raymond Mushumbusi Dodoma