MASHABIKI SITA WA LEICESTER, KILA MMOJA AFUNGWA MIEZI MINNE NCHINI HISPANIA, NI ZILE FUJO DHIDI YA POLISI



Mashabiki sita wa Leicester City ya England, kila mmoja amefungwa jela miezi minne nchini Hispania.
Mashabiki hao wamepatikana na hatia ya kupigana na polisi katika mii wa Madrid, saw kadhaa kabla ya timu yao kuivaa Atletico Madrid katika mechi ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Mashabiki wa Uingereza wamekuwa na rekodi ya ufanyaji vurugu wanapokwenda kuzishangilia timu zao katika nchi mbalimbali barani Ulaya.
Powered by Blogger.