MARTIAL KWA WAZUNGU EEEH! ANABADILISHA TU....HAYA SHEMEJI YENU HUYU HAPA
Mshambuliaji
nyota wa Man United, Anthony Martial raia wa Ufaransa ameonekana katika
mitaa ya mji wa Manchester United akiwa na mpenzi wake Melanie Da Cruz
Pires.
Martial
alifunga bao moja wakati Man United ikiitwanga Burnley kwa mabao 2-0
katika mechi ya Ligi Kuu England, wikiendi iliyopita.
Hivi
karibuni, mpenzi wa zamani wa Martial aitwaye Samantha Jacquelinet
alimuita Melanie ni malaya, lakini mwanamitindo huyo hakuonyesha kuwa na
matata sana.
Kitendo cha Martial na Melanie kuonekana mitaani mara kwa mara kimeonakana kumkera Samantha ambaye ni ni “mzungu”